Story 4 | Simulizi 4

I was 5 or 6 years old when I first found out about sex. When my period arrived, I told my aunt; I was in Cote D’Ivoire at the time. I don’t remember what she said, but I already knew about periods.

I was about 14 when the subject of sex was first broached. My dad brought it up, and I freaked out. I think he started by talking about the birds and the bees, and I cut him off and said we’d learned it in school already (we had sex ed). He dropped the subject. We were both relieved.

Talking to future children: no idea. I’d like to think I’d be more communicative, but I honestly don’t know.

♀, 27, Ghana

(Go here to share your story!)

***

Nilikuwa na miaka 5 au 6 nilipogundua kuhusu ngono. Nilipovunja ungo, nilimwambia mama mdogo; nilikuwa Cote d’Ivoire wakati huo. Sikumbuki aliniambia nini, lakini nilikuwa tayari ninafahamu kuhusu hedhi.

Niliuwa na kama miaka 14 wazazi wangu walipozua suala la ngono. Baba yangu alianzisha mazungumzo, nami nikafedheheka. Ninadhani alianza kwa kuongelea wanyama, nikamkatisha na kusema kuwa tuliishajifunza shuleni (tulikuwa na kipindi cha elimu ya afya ya uzazi). Basi aliacha kuzungumzia, sote tukaona afadhali.

Kuongea na wanangu huko mbeleni: bado sijajua. Ninafikiri ningependa kuwa muwazi zaidi, lakini kwa kweli sijui.

♀, 27, Ghana

(Nenda hapa kuchangia simulizi yako!)

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s