About | Kuhusu

A graduate of Wellesley College, I’m on a circuitous but scenic path to becoming a physician. I speak five languages — English, Swahili, Haya, Spanish, and French, though I’m admittedly far more comfortable in the first three than the latter two. I have worked as a medical interpreter for over three years now, while completing a post-baccalaureate pre-medical program. This blog is borne of reflections on this work, and of a related desire to contribute to the body of online Swahili-language reproductive health resources. Earlier this year I also took the Instagram plunge: you can find and follow me @binti_ilahuka. Thank you for visiting my site, and you’re welcome back anytime! 🙂

– Sylvia

***

Mimi ni mhitimu wa Wellesley College, na njia yangu ya kujibu wito wa udaktari imekuwa ya mzunguko sana lakini pia ya raha. Nina bahati ya kufahamu lugha tano — Kiingereza, Kiswahili, Kihaya, Kihispania, na Kifaransa, lakini nimebobea zaidi katika zile tatu za awali kuliko mbili za mwisho. Nimekuwa nikifanya kazi kama mkalimani wa kiafya kwa zaidi ya miaka miwili sasa, huku pia nikifanya maandalizi ya kuanza kusomea udaktari. Hii tovuti inachimbuka kwenye tafakari zangu kuhusu hii kazi, na pia kwa kutaka kuchangia rasilimali za mtandaoni kuhusu afya ya uzazi kwenye lugha ya Kiswahili. Mwanzoni mwa mwaka huu pia niliamua kujitosa kwenye Instagram: waweza kunifuata @binti_ilahuka. Asante kwa kutembelea tovuti yangu, karibu tena wakati wowote! 🙂

– Sylvia

Advertisement